Breaking News

Your Ad Spot

Feb 20, 2010

MAHAFALI YA PILI YA KIDATO CHA SITA, ALPHA HIGH SCHOOL , DAR

WASANII wakicheza ngoma ya moto wakati wa mahafali ya pili ya Alpha High School, Dar es Salaam, leo
NDEREMO na vifijo vilitawala, wakati wanafunzi 159 walipofanyiwa sherehe katika mahafali ya pili ya kidato cha sita, shule ya sekondari ya Alpha, Mikocheni, Dar es Salaam. Pichani, Mmoja wa wahitimu hao, Mohamed Njovu akipongezwa na mama yake Salma Njovu wakati wa sherehe hiyo. Kushoto ni Baba yake, Abdulrahmid Njovu.
Baadhi ya wahitimu
wahitimu
 wahitimu
Mgeni rasmi akimpatia zawadi ya uongozi bora mhitimu Arkadi Makona wakati wa mahafali hayo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages