Breaking News

Your Ad Spot

Feb 2, 2010

MASTAA WA MAJUU

MWANAMUZIKI Lione Richie wa Marekani  akiwa katika pozi na watoto wa hayati Michael Jackson (Blanket, Paris and Prince) wakifurahia tuzo aliyotunikiwa Jacko,  ya Life Time Achievement ambapo aliipokea Richie kwa niaba ya familia.Angalia Rihanna akimshangaa Beyonce akisindikizwa kwenye steji kwa ajili ya kutumbuiza katika Tuzo za Grammy Awards jijini Los Angeles,pia mwanadada huyu jana alivunja rekodi kwa kukusanya tuzo sita kwa mwaka huu 2010.


Mwanadada Lady Gaga anayesifika kuwa na mwanamuziki mwenye vituko zaidi kutokana na vivazi vyake, hebu cheki na kivazi chake jana ndani ya Grammy Awards 2010

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages