Breaking News

Your Ad Spot

Feb 5, 2010

MSIMBA WA MTOTO WA MAREHEMU MZEE KAWAWA

VITA Kawawa (aliyesimama kushoto) ambaye ni kaka wa marehemu Habiba Kawawa akiwa na wanafamilia na waombolezaji wengine nyumbani kwa mume wa marehemu Habiba, Johson Maleko, Tegeta Dar es Salaam, leo. WANANDUGU hasa dada wa marehemu Habiba wakipanga namna ya kufanikisha mazishi, walipokuwa msibani nyumbani kwa mume wa marehemu, Tegeta dar es salaam.
WAOMBOLEZAJI akiwa msimbani leo,

MWILI wa marehemu Habiba unatarajiwa kusafirishwa Jumatatu kwenda kuzikwa Marangu Moshi kwenye familia ya muwe Johson Maleko, baada ya kuagwa Jumapili katika kanisa ambalo litatajwa baadaye.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages