Breaking News

Your Ad Spot

Feb 5, 2010

SIKU YA SHERIA YAADHIMISHWA DAR

RAIS Jakaya Kikwete  akijadiliana jambo na Jaji Mkuu wa Tanzania, Augustino Ramadhani (kushoto) na Spika wa Bunge, Samwel Sitta wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini yaliyofanyika katika viwanja vya Mahakama Kuu jiji Dar leo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages