Breaking News

Your Ad Spot

Feb 1, 2010

TANESCO YAZINDUA MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA LEO


Bango lenye kuhamasisha uelewa wa mkataba huo.
KAIMU Mkurug enzi wa Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania(Tanesco), Injinia Steven Mabada akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mkataba wa Huduma kwa wateja, leo makao makuu ya Tanesco, Ubungo Dar es Salaam. Kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya Taneco, Semindu Pawa na wa pili ni Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo
 BAADHI ya Maofisa wa Tanesco  wakiwa kwenye hafla hiyo. Kushoto ni Meneja Uhusiano,Badra Masoud.KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini David Jairo (kulia) akimkabidhi kijitabu cha Mkataba wa Huduma  kwa Wateja, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Nishati na Maji (EWURA), Haruna Masebu baada ya kuzindua mkataba huo leo, makao makuu ya Taneco, Dar es Salaam.KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo akizindua mkataba kwa wateja wa Tanesco, kwenye makao makuu ya  Shirika hilo jijini Dar essalaam, jana.
KAIMU Mkurugenzi Mtendaji wa Tansco, Injinia Steven mabada akijadili jambo na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA Haruna MasebuKAIMU Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Steven Mabada akijadili jambo na Katibu MNkuu wa Wizara ya Nishati na Madini David Jairo katika sherehe ya uzinduzi wa Mkataba kwa wateja leo makao makuu ya Tanesco, Dar es Salaam,

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages