Breaking News

Your Ad Spot

Feb 5, 2010

TBC YAANDAA KIPINDI CHA ELIMU YA UCHAGUZI

MWENDESHAJI kipindi kipya cha TV katika TBC1 Maria Shaba akiizungumza na mwakilishi toka ubalozi wa Uingereza nchini na prodyuza Dk. Martin Mhando na msanii Vitalis Maembe, Rose Haji wa MISA-Tan na  John Mnyika wa CHADEMA baada ya kukamilisha kurekodi sehemu ya kwanza ya kipindi cha 'Kitimtim' kitachoanza kurushwa hivi karibuni k ikiwa ni kuamsha na kuelimisha wananchi kuhusu wajibu na haki katika uchaguzi mkuu. Fungua dimba ni mada ya Ushiriki na utendaji wa vyombo vya habari katika uchaguzi mkuu

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages