KATIBu wa Ofisa Rasilimali Watu, Kampuni ya kusafirisha mafuta ya Tanzania na Zambia (TAZAMA), Pauline Kulwa akikabidhi msaada wa vitu mbalimbali vyeye thamani ya zaidi ya sh. 800,000, leo kwa Meneja wa operesheni wa Msalaba Mwekundu Tanzania, Felichisimi Majuva, kwa ajili ya waliopatwa na maafa hivi karibuni wilayani Kilosa mkoani Morogoro. Wengine ni Kina mama kutoka kampuni hiyo walioshirikia kuchangia kupatikana kwa msaada huo. Msaada huo wameutoa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika leo sambamba na maadhimisho ya miaka 15 ya mkutano wa Wanawake uliofanyika Beijing China.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269