MKURUGENZI huduma za afya wa chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania, Dk. Seif Rashid akimkabidhi kadi za kutumia wakati wa uamuzi wa mpira wa miguu, Tatu Mohamedi, ambaye ni miongoni waamuzi 17 waaliohitimu kozi ya kazi hiyo wilayani Rufiji, mkoa wa Pwani, juzi. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Cha soka mkoa wa huo(COREFA), Hassan Othman 'Hasanoo'.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269