Breaking News

Your Ad Spot

Mar 12, 2010

LYON YAINYWA MAJIMAJI 2-0

MCHEZAJI Salum Chimae wa timu ya Majimaji (kushoto) akipambana na Salum Kingwande wa African Lyon, timu hizo zilipomenyana jana kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.MCHEZAJI Omaru Mnumbi wa timu ya Majimaji (kushoto) akipambana na Robert sentongo wa African Lyon, timu hizo zilipomenyana jana kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. MCHEZAJI James Mwakababu wa timu ya Majimaji (kushoto) akipambana na Aziz Sibo wa African Lyon, timu hizo zilipomenyana jana kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages