Breaking News

Your Ad Spot

Mar 12, 2010

RAAWU TAWI LA UHURU PUBLICATIONS LTD WAFANYA UCHAGUZI LEO

MWENYEKITI MWADINI HASSANI AENDELEA KUPETA
MWENYEKITI wa zamani wa RAAWU tawi la UPL, Mwadini Hassani ambaye ameendelea kupeta katika uchaguzi uliofanyika leo.Mwadini Hassani akipongezana na Katibu wa Tawi hilo Da' Masota baada na yeye kuibuka na ushindi wa nafasi hiyo.Baadhi ya wanachama wa RAAWU waliogombea nafasi mbalimbali zikiwemo za Ujumbe, wakimpongeza Mwenyekiti wao baada ya uchaguzi huo.Midajala ya hapa napale ikiendelea kwa baadhi ya wanachama walioshiriki uchaguzi huo mara matokeo yalipotangazwa.Mwadini Hassani (wapili kushoto) akiwa na baadhi ya walioshiriki kugombea nafasi mbalimbali ambapo baadhi walishinda na wengine kuangukia pua.
Baadhi ya wajumbe wakipongezana baada ya kutoka ukumbini baada ya uchaguzi huo.
Meneja Biashara wa UPL Mzee Beatus na Kaka Mfinde wakiwa nje ya ukumbi baada ya uchaguzi huo.Kaka Mzombora na Kaka  Epson wakijadiliana jambo nje ya ukumbi baada ya uchaguzi huo. Mzobora (kushoto) alishinda nafasi ya ujumbe huku Epson kura zake zikiwa hazikutosha.Ilikuwa siku ya baadhi ya wanachama wa RAAWU tawi la UPL kupata fursa ya kupiga picha na Mwenyekitiu wao.Waliokuwa wasimamizi wa uchaguzi huo wakitafakari namna walivyoweza kuufanikisha uchaguzi huo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages