
RAIS Jakaya Kikwete akimwapisha Patrick Tsere kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Ukulu mjini Dar es Salaam, leo. Wa pili kuhsoto ni Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo.

Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Rehema Madenge kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Dodoma, leo Ikulu, Dar es Salaam.

Rais Kikwete akimwapisha Theresia Mmbando kuwa Katibu Tawala mkoa wa Tabora.

Rais Kikwete akimwapisha Salum Chima kuwa Katibu Tawala mkoa wa Rukwa

Rais Kikwete akimwapisha Clement Lujaji kuwa Katibu Mkuu mkoa wa Mara
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269