Breaking News

Your Ad Spot

Mar 11, 2010

RAIS KIKWETE NYUMA YA KAMERA!!!!

RAIS Jakaya Kikwete, akipiga picha, baada ya kuwaapisha Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Patrick Tsere na Makatibu Tawala wa Mikoa wanne, Ikulu, Dar es Salaam, leo. (Picha na Yassin Kayombo).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages