Breaking News

Your Ad Spot

Mar 11, 2010

WALIOKUWA WAASI ENEO LA MASHARIKI MWA CONGO WADAIWA KUJINUFAISHA NA MADINI NCHINI HUMO

SHIRIKA la kutetea haki za bianadam la Global Witness linasema limepata ushahidi kuwa wanajeshi waliokuwa waasi katika eneo la mashariki mwa Congo wanajinufaisha na biashara ya madini nchini humo.
Waasi hao wa zamani kutoka chama cha CNDP wanasema wameweza kudhibti migodi ya madini kwa kiwango kikubwa kuliko wakati walipokuwa waasi.
     Shirikika hilo limeshtumu serikali ya jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo na jamii ya kimataifa kwa kutochukua hatua madhubuti kuwaondoa watu waliojihami katika migodi nchini humo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages