Breaking News

Your Ad Spot

Mar 3, 2010

NSSF YATOA VIFAA KWA TIMU ZITAKAZOSHIRIKI MICHUANO YA KOMBE LAKE

Meneja Kiongozi na Uhusiano wa Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akizunumza wakatiwa kukabidhi vifaa vya mheo wa tiu zinazoshiriki mashindano ya Kombe la NSSF.Meneja Kiongozi na Uhusiano wa Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii-NSSF, Eunice Chiume (shoto), akimkabidhi Mwenyekiti wa klabu ya Wizara ya Habari, Utamaduni na Mchezo,Ombeni Zavala kwa ajili ya michuano ya NSSF.


OFISA Habari Wizara ya Habari, Zanzibar, Khamis Shabani (kushoto) akipokea vifaa vya michezo leo mchana kutoka kwa Meneja Kiongozi na Uhusiano wa Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume kwa ajili ya mashindano ya Kombe la NSSF yakayoanza kutimua vumbi jumamosi katika viwanja vya TCC Chang'ombe. Mashindano hayo yanavishirisha vyombo ya habari kutoka Tanzania Bara na Visiwani ambapo jumla ya timu 16 zitashiriki mashindano hayo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages