Breaking News

Your Ad Spot

Apr 7, 2010

DALALI ACHUKUA FOMU KUTETEA UENYEKITI SIMBA

MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Hassani Dalali(kushoto) akichukua fomu ya kuwania tena nafasi hiyo, jana kwenye makao makuu ya klab hiyo, mtaa wa Msimbazi, Dar es Salaam. anayemkabidhi ni Katibu Msaidizi wa kamati ya uchaguzi Simba, Saidi Kamguna.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages