.

ABOUBAKAR LIONGO LIKIZONI HOME

Apr 6, 2010

 Mtangazaji wa Sauti ya Ujerumani, Deutsche Welle, Aboubakari Liongo akiwa na Mhariri wa gazeti la Mzalendo, Bakari  Mnkondo, wakiwa kwenye kijiwe chao walipokutana leo, jijini Dar es Salaam, ambapo Liongo amerejea nchini juzi kwa ajili ya likizo ya Pasaka.

2 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª