Breaking News

Your Ad Spot

Apr 6, 2010

ABOUBAKAR LIONGO LIKIZONI HOME

 Mtangazaji wa Sauti ya Ujerumani, Deutsche Welle, Aboubakari Liongo akiwa na Mhariri wa gazeti la Mzalendo, Bakari  Mnkondo, wakiwa kwenye kijiwe chao walipokutana leo, jijini Dar es Salaam, ambapo Liongo amerejea nchini juzi kwa ajili ya likizo ya Pasaka.

2 comments:

  1. du jamaa inaelekea alimmiss sana huyo mzaramo maana alivyomshikilia

    ReplyDelete
  2. Bila shaka! maana alivyomshika hata jamaa yake wa pembeni ni kama anamezea mate hivi

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages