.

WAKATI KIPUTE CHA YANGA NA SIMBA NI JUMAPILI HII, TFF YATANGAZA MABADILIKO MENGINE KUHUSU MECHI HIYO

Apr 16, 2010


Katibu mkuu wa TFF Frederick Mwakalebela akizungumzia mabadiliko ya mchezo wa ligi kuu kati ya Yimba na Yanga ambao awali ilitangazwa kwamba ungefanyika usiku kwamba sasa utafanyika saa 10.30 jioni katika Uwanja uleule wa Taifa jijini Dar es salaam.. Kulia ni Ofisa Habari wa TFF Florian Kaijage 
Katika mkutano na Waandishi wa habari mwakalebela amesema leo kwamba wameamua kudabili muda wa mchezo huo baada ya kushauriwa na Wahandisi wa Uwanja wa Taifa kwamba mfumo wa umeme kwa sasa siyo mzuri ni kama choka mbaya hivi katika uwanja huo.
0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช