.

HAPY BIRTH-DAY YA RIDHIWANI KIKWETE

Apr 17, 2010

 MTOTO wa Rais,  Ridhiwan Kikwete akikata keki huku akishuhudiwa na waifu wake na mwanae usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake jijini DarRidhiwani akimlisha keki dada yake Salama. Ridhiwani akifurahi na wadau walioalikwa katika besidei hiyo, Maulid Kitenge (kushoto) na Benny Kisaka.
Chachandu-Daily Blog inamtakia Ridhiwani, maisha marefu na yenye furaha.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª