skip to main |
skip to sidebar
HAMAD RASHID ZIARANI CANADA
Mbunge wa Wawi - Chake chake Pemba - (CUF) na kiongozi wa kambi ya upinzani katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Hamad Rashid Mohamed, akiwa na Spika wa Bunge la Canada, Bw. Peter Milliken mjini Ottawa na Balozi wetu Canada, Mh. Peter Kallaghe (shoto) na Ofisa wa Ubalozi kwenye ofisi za bunge la nchi hiyo
Hamad Rashid Mohamed pia alikutana na kubadilisha mawazo na wajumbe wa kamati ya Bunge la Canada inayoshughulikia maswala ya Africa "Canada - Africa parliamentary association"
ยช
0 Comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269