.

WATOTO WAANDAMANA DODOMA KULIPONGEZA BUNGE

Apr 17, 2010

Watoto wakiwa katika maandamano kwenye viwanja vya Jamhuri mjini Dodoma kupongeza wabunge kupitisha sheria hiyo.Waziri Mkuu Mizengo Pinda  akionyesha zawadi  aliyopewa na watoto kwa ajili ya serikali kama shukurani zao kwa serikali na Bunge kutokana na kupitisha muswaada wa sheria ya watoto baada ya kupikea maandamano yao leo mjini Dodoma. ambapo zaidi ya watoto 2,000  wa mkoa huo wamewakilisha watoto wenzao katika tamasha hilo.
     Sheria hiyo imepitishwa mwaka jana 2009 na imeanza rasmi kutumika April 1 mwaka huu. Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZOWAZIRI wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Margareth Sitta akitaza vifaa vya mikono vilivyotengenezwa na watoto ambavyo watoto walivionyesha katikamaandamano hayo ya kupoingeza Bunge.WATOTO wakiwa kwenye tamasha hilo

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª