.

Apr 18, 2010

LEO NI LEO, SIMBA NA YANGA  
HAPATOSHI !!!!!!!!!!!!!!!MOJA ya Katuni za tambo kwenye baadhi ya magazeti ya jana, kuashirikia mshike mshike wa mpambano huo utakaorindima leo katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Awali mpambano ulikuwa uwe Jumapili iliyopita, ukaahirishwa kutokana na sababu ambazo hapa zinamaliza nafasi bure. Blog hii inakuletea matokeo baaada ya kipute hicho

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª