.

JK AONGOZA KIKAO CHA NEC

Apr 8, 2010

HABARI KATIKA PICHAMWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Kikwete akipungia mkono  wananchi na wajumbe wa mkutano huo wa NEC, alipowasili kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, kuendesha kikao hicho. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Yussuf  Makamba.

KATIBU Mkuu wa CCM, Yussuf Makamba, akisalimiana na Spika wa Bunge Samwel Sitta (kushoto), kabla ya kuanza kwa kikao hicho. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Saleh Ramadhan Ferouz.NAIBU Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Saleh Ramadhan Ferouz (kulia) akimkaribisha kikaoni Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru.KATIBU Mkuu wa CCM Yussuf Makamba akimpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Rais wa Zanzibar, Amani Abeid Karume alipowasilai kushiriki kikao hicho. Wapoli kushoto ni FerouzMAKADA wa CCM wakipeleka ukumbini makabrasha ya kikao hicho.ALIYEKUWA Waziri Mkuu, Edward Lowassa, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. Wa pili kushoto ni Abdulrahman Kinana na wa tatu ni Kingunge Ngombale- Mwiru.


Kingunge Ngobale -Mwiru na Ali Ameir Mohammed wakiwa kwenye kikao hichoMWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Rais Amani Abeid Karume na katibu Mkuu wa CCM, Yudduf Maskamba,  wakiingia kwenye ukumbi wa Karimjee, mjini Dar es Salaam, jana, kuhudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM.WENYEVITI wastaafu wa CCM ambao pia  Marais wastaafu,  Ali Hassan Mwinyi na  Benjamin Mkapa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa wakiingia ukumbini Mwenyekiti mstaafu wa CCM  Mkapa , Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Makamu wa Rais Dk. Ali Moahamed Sheni na Spika wa Bunge Sitta wakiingia ukumbiniMKURUGNEZI wa Uhuru FM, Mikidadi Mahmaoud (kulia) akiwa na Mhariri Mtendaji wa Uhuru Piblications Ltd (UPL), wachapishaji wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, Josiah Mufungo wakiwa katika kikao jicho. Uhuru FM na UPL ni tasisi zinazomilikiwa na CCM.KATIBU Mkuu wa CCM Yussuf Makamba akimkaribisha Aziz  Abood (kushoto) kabla ya kuanza kikao hicho. 

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª