.

Apr 6, 2010

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mpira wa Netiboli Tanzania Shy-Rose Bhanji na viongozi wengine wakiagana na kocha wa timu ya Netiboli Tanzania bara 'Taifa Queens" Mary Protase na wachezaji wa timu hiyo waliokuwa wakielekea nchini Uingereza kwa mwaliko wa wiki mbili ili kupata mazoezi na kujipima nguvu na timu za huko. Timu hiyo iliondoka leo na Shirika la Ndege la Emirates katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere jijini Dar.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช