Breaking News

Your Ad Spot

Apr 10, 2010

MAZISHI YA MTOTO WA KAKA MONDI WA UHURU NA MZALENDO LEO


MFANYAKAZI wa Uhuru Publications Ltd(UPL), wachapishaji wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, Emmanuel Mondi na mkewe, Joyce, wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mtoto wao, marehemu Emmy Mondi, nyumbani kwao, Mbezi Juu, Dar es Salaam, leo, kabla mwili huo kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni. Mwili wa marehemu ukiwasilishwa  katika makaburi ya KinondoniJeneza lenye mwili likiwa tayari kuwekwa kaburinijeneza lenye mwili wa mtoto huyolikishushwa kaburini Mondi na mkewe wakishuhudia kwa huzuni maziko ya mtoto waoMondi na mkewe wakiweka shada la maua kwenye kaburiWaombolezaji wakiwemo wafanyakazi wa UPL wakitoka makaburini baada ya maziko hayo.
 
 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages