.

RAIS ATOA SADAKA YA SIKUKUU KWA VITUO VYA WATOTO

Apr 3, 2010

KAMAISHNA Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Jeanne Ndyetabura (kushoto), akimkabidhi zawadi za Pasaka za mbuzi na mafuta ya kula, Margareth Minja cha Dar es Salaam, alipokabidhi zawadi zawadi za mbuzi na nyingine mbalimbali kwa ajili ya Sikukuu hiyo kwa vikundi vya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu, leo Ikulu. (Picha na John Lukuwi).

Bi Jeanne akiwa katika picha ya pamoja na viongozi au wawakilishi wa vituo vya watoto yatima na wanaoishi katika maziongira magumu baada ya kuwakabidhi zawadi za Psaka leo.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช