.

RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MTANGAZAJI WA UHURU FM, FARIDA MASOLI

Apr 1, 2010

RAIS JAKAYA KIKWETEAmbulande yenye mwili wa marehemu Farida likiwasili katika makaburi ya Kisutu leoMMOJA wa biongozi wa Kiislamu waliosimamia mazishi hayo akitoa utaratibu muda mfupi kabla ya Rais Kikwete kuwasili makaburiniBAADHI ya wafanyakazi wa Uhuru FM wakijumuika na waombolezaji wengine kwenye mazishi hayo.RAIS  Kikwete akimsalimia Mkurugenzi wa Uhuru FM, Mikidadi Mahmoud alipowasili katika mazishi hayo.RAIS Kikwete akiwa kwenye mazishi. kushoto ni baba wa marehemu, Mzee Hamis Masoli na kulia ni Mkurugenzi wa UHURU FM, Mikidadi MahmoudWaombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa FaridaMwili wa marehemu ukishushwa kuingizwa kaburini.Wambolezaji wakiendelea kukamilisha hatua ya kumhifadhi kaburini marehemu Farida.Rais Kikwete akiwa na baba wa marehemu.Rais Kikwete akiondoka baada ya mazishi hayo.Waombolezaji waliokuwa katika Pick Up wakilazimika kujifunika mkeka uliotumika kuhifadhi mwili wa marehemu kabla ya kuzikwa, baada ya kunyesnyeswa na mvua wakati wakitoka mazikoni.

Blog hii ya jamii inatoa pole  za dhati kwa Mkurugenzi na Wafanyakzi wa  UHURU FM, Wazazi, Ndugu ma jamaa kwa msiba huo mzito wa kipenzi chetu Farida.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช