Breaking News

Your Ad Spot

Aug 19, 2010

JK AREJESHA FOMU NEC NA KUSEMA NAZI HAIVUNJI JIWE

MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Rais Jakaya Kikwete akisaini hati maalum ya kukubaliwa kuwa mgombea wa nafasi hiyo baada ya kutimiza masharti, alipowasilisha fomu zake, jana Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), mjini Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni Mkureugenzi wa Uchaguzi, Rajabu Kiravu na kulia ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Lewis Makame
Rais Kikwete akiwa na mgombea mwenza wake, Dk. Mohammed arib Bilal baada ya kuwasilisha fomu.


VIJANA wa CCM waliomsindikiza Rais Kikwete, wakiselebuka kwa furaha nje ya ofisi za Tume ya Taifa ya UCchaguzi
Mtangazaji wa Uhuru fm, Angel Akilimali akifuatilia shamrashamra zilizoendelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba.

.Mashabiki wa CCM wakiwa wamebebana kwenye pikipiki ya kimichezo wakati wa kiumsindikiza Rais Kikwete kurejesha fomu hizo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages