Breaking News

Your Ad Spot

Aug 18, 2010

JUMUIA YA WAZAZI KATA YA KAWE, WATAKIWA KUVUNJA MAKUNDI YALIYOTOKANA NA MCHAKATO WA KURA ZA MAONI

KATIBU wa Jumuia ya Wazazi wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, Stanley Mkandawile, akizungumza na viongozi wa Jumuia hiyo Kata ya Kawe, jana katika ukumbi wa Golden Bridge, kuhusu mikakati ya jumuia hiyo kufanikisha ushindi wa kwa CCM katika uchaguzi mkuu utakaoanyika Oktoba 31, mwaka huu. Kushoto ni Mwenyekiti wa Wazazi Kata ya Bunju, Ibrahim Ela, na kulia ni Mwenyekiti wa jumuia hiyo Kata ya Kawe, Benjamin Maliwa.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages