Breaking News

Your Ad Spot

Aug 18, 2010

YANGA YAIFUNGA SIMBA, 3-1 KOMBE LA HISANI

Mussa Hassan Mgosi' akiwa makini mbele ya mchezaji wa Yanga Stepheno Mwasika aliyekuwa na mpira, timu hizo zinaponedele kumenyana leo katika uwanja wa taifa mjini Dar es Salaam, katika mechi ya ngao ya hisani. hadi kipindi cha kwanza kinamalizika timu hizo zilikuwa 0-0

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages