Breaking News

Your Ad Spot

Aug 8, 2010

KIKAO CHA KAMAALUM ZANZIBAR LEO

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Mhe. Aman Abeid Karume kulia na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe. Dk Ali Mohamed Shein, wakipitia baazi ya agenda kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar kilichokutana leo Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzibar kwa ajili ya kupitia na kupendekeza majina ya wagombea wa nafasi za Viti vya Ubunge, Uwakilishi na Udiwani kwa tiketi ya CCM.
Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakipitia baazi ya agenda kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati hiyo kilichokutana Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzibar leo, kwa ajili ya kupitia na kupendekeza majina ya wagombea wa nafasi ya Viti vya Ubunge, Uwakilishi na Udiwani kwa tiketi ya CCM waliopitishwa katika kura za maoni zilizopigwa majimboni wiki iliyopita Nchini kote. Amour Nassor VPO

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages