Breaking News

Your Ad Spot

Aug 11, 2010

KIMBUNGA CHA UCHAGUZI MKUU

Shibuda ametangaza leo kuwa yupo mbioni kutangaza kung'oka CCM bila kutaja atahamia wapi kusaka kivuli anachohitaji.

Taarifa ilizopata Chachandudaily leo, Shibuka atazungumza uamuzi huo keshokutwa katika mahali ambako hakupataja.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages