Breaking News

Your Ad Spot

Aug 31, 2010

MUFT WA ZANZIBAR AZIKWA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume,(wa tano kushoto)alijumuika na Viongozi wengine katika swala ya Maiti ya Marehemu Mufti Mkuu wa Zanzibar,Sheikh Harith Bin Helef,katika Msikiti wa Mwembeshauri leo.

1 comment:

  1. Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi-AMIN

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages