Breaking News

Your Ad Spot

Sep 17, 2010

ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCJ AJISALIMISHA KWA MAKAMBA: AJIUNGA CCM

RICHARD Kyabo
KATIBU Mkuu wa CCM, Yussuf Makamba, akimtamkabidhi kadi ya CCM aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha CCJ, Richard Kyabo, baada  ya kutangaza kujiunga na CCM, katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam, leo. Kushoto ni  Katibu wa NEC Oganaizesheni, Kidawa Himid Saleh. (Picha na Chachandu Daily).

1 comment:

  1. Kaka Bashir, looooh, niishie hapa kwa kusema, "Siasa si hasa, bali visa na mikasa", asante! na HESHIMA kuu kwako!

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages