Breaking News

Your Ad Spot

Sep 17, 2010

JK NDANI YA ARUSHA aka A TOWN


Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiingia kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sheickh Amri Abeid jijini Arusha kwa ajili ya mkutano wa kampeni huku akipungia maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano huo tarehe 16.9.2010.

 Mamia ya wananchi wa kijiji cha Kindi huko Masama katika wilaya ya Hai wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete aliyekuwa akiwahutubia katika mkutano wa klampeni kijijini hapo tarehe 16.9.2010.   

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages