Breaking News

Your Ad Spot

Sep 16, 2010

AJALI GEITA

Hii ndiyo hali halisi ya ajali hiyo ambayo ilihusisha gari dogo ' mchomoko'  na basi la Adventure,  linalosafirisha abiria kati ya Mwanza na Kigoma ambalo lilipata ajali katika eneo la Mpomvu nje kidogo ya mji wa Geita. Mtu mmoja amekufa na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages