Breaking News

Your Ad Spot

Sep 22, 2010

MEJA JENERALI MSTAAFU ABDALLAH NATEPE AMEFARIKI DUNIA

MUASISI wa TANU na Mapinduzi ya Zanzibar, Meja Jenerali mstaafu, Abdallah Saidi Natepe (81), amefariki dunia leo mjini Dar es Salaam.


Habari zilizopatikana, zimethibitisha kuwa Natepe (pichani) almefariki dunia ,  saa 6.15 mchana katika Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Lugalo.


Mdogo wa marehemu Natepe, Ahmada Omari, alisema, kifo cha kaka yake kimetokea baada ya kulazwa kwa miezi miwili, kutokana na kusumbuliwa na kisukari kwa muda mrefu.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages