Breaking News

Your Ad Spot

Sep 14, 2010

JK AMNADI MAJI MAREFU

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Stephen Ngonyani maarufu kama Profesa Majimarefu Mgombea ubunge Korogwe vijijini kwa tiketi ya CCM wakati aliposimama katika kijiji cha Mashewa Korogwe vijijini lao asubuhi(picha na Freddy Maro)

3 comments:

  1. tumechoka na waganga

    ReplyDelete
  2. hawa waganga ndio walisababisha maluelue serikalini. engineer anapewa ubwana samaki, dakitari anakuwa waziri wa ulinzi, accountant anapewa ukuu wa mifugo, bwana mifugo anapewa ujenzi

    ReplyDelete
  3. Mkiwa na pesa bwana mnapeta tu...nawaonea huruma sana vyama vya upinzani, kwani siwasikii wakinadiwa au kupata taarifa zai kiundani

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages