Breaking News

Your Ad Spot

Sep 15, 2010

CCM YAFAFANUA MAMA KIKWETE KUSAFIRI KWA NDEGE YA SERIKALI; YASEMA CCM HUMKODIA NDEGE HIYO

 MWENYEKITI wa Kamati ya kampeni za CCM katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 31, mwaka huu, Abdulrahman Kinana, akionyesha baadhi ya stakabadhi za malipo yaliyofanywa na CCM kukodi ndege ya serikali kwa ajili ya safari za mke wa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Rais Jakaya Kikwete, alipozungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo ya makao makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam, leo. (Piha na Chachandu Daily Blog)
Hati hiyo ya malipo iliyoonyeshwa na Kinana.
Waandishi wa Habari wakimsikiliza kwa makini Kinana

1 comment:

  1. Mambo ya kampeni hayo, ...Ulizeni, huu ndio muda wa kuuliza , kama kuna dukuduku, kero nk ulizeni hawa watu wapo mikononi mwenu sasa, wakatoka hapo hamuwaoni tena, kuwaona mpaka `ufikiriwe'

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages