Breaking News

Your Ad Spot

Sep 14, 2010

KAMPENI ZA DK. BILAL DOM

Mgombea Mwenza Dk. Mohamed Ghari b Bilal, akiwahutubia wananchi wa Chamwino wakati wa mkutano wa Kampeni uliofanyika jana Sept 13 ambapo pia alimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Chilonwa, Ezekiah Chibulunje (hayupo pichani).

Wasanii wa ngoma ya asili ya Kabila la Wagogo, wakipiga ngoma kwa furaha wakati wa mapokezi ya mgombea mwenza Dk. Mohamed Gharib Bilal, alipokuwa akiingia Wilaya ya Chamwino Jimbo la Chilonwa kufanya mkutano wa kampeni jana Sept 13.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages