JAJI Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Fakih Rheno Jundu (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na wasajii wa mahakama hiyo (waliosimama), baada ya kuwaapisha leo,mjini Dar es Salaam. Wengine (waliokaa) kushoto ni, Msajili wa Makama Kuu, Ignas Kitusi na Jaji Mfawidhi Kanda ya Dar es Salaam, Semistocles Kaijage na wapili kulia ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kitengo cha Ardhi,Rwegina Rweyemamu
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269