Breaking News

Your Ad Spot

Sep 2, 2010

KOCHA WA TIMU YA TAIFA NETIBOLI ATUA NCHINI

KOCHA wa timu ya taifa ya netiboli, Queen Stars,Simone Macknis (wapili kushoto), akiwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Netiboli nchini(CHANETA), Anna Bayi,kocha huyo alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam,jana.Kushoto ni Nahodha wa timu hiyo, Jacqueline Sikozi.(Picha na Bashir Nkoromo).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages