Breaking News

Your Ad Spot

Sep 16, 2010

NAPE KATIKA MUZIKI, HAVUMI LAKINI WAMO


Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Nape Nnauya, akipiga gitaa la besi katika Jukwaa la bendi ya Vijana Jazz, wakati bendi hiyo ilipokuwa ikitoa burudani katika mkutano wa kampeni wa mgombea Mwenza Dk. Mohamed Gharib Bilal, uliofanyika kwenye Uwanja wa Makiungu mjini leo Sept 16.(Picha na Muhidin Sufiani).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages