Breaking News

Your Ad Spot

Sep 16, 2010

JARIDA LA WANAUME LAZINDULIWA DAR

OFISA Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Euro Consultancy Limited, Dismas Masawe na Mhariri Mtendaji wa Jarida la MAN, linalochapishwa na kampuni hiyo, Taji Liundi, wakilitazama nakala ya jarida hilo, katika mkutano wa kulitangaza uliofanyika katika ukumbi wa New Africa Hotel, Dar es Salaam, leo.
OFISA Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Euro Consultancy Limited, Dismas Masawe akionyesha nakala ya toleo la nne ya Jarida la MAN, wakati wa kutangaza jarida hilo kwa waandishi wa habari, leo, katika ukumbi wa Hoteli ya New Africa, mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya  Sovereign International Ltd, ambaye ni mshirika katika biashara na kampuni ya Euro, Brett  Frances.Kulia ni  Mhariri Mtendaji wa jarida hilo, Taji Liundi.
Masawe na Frances wakipiga menu baada ya kutangaza jarida hilo.
DINA aka MAMAPIPIRO ni miongoni mwq waandishi ambao pia nao walipiga menyu katika mnuso huo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages