Breaking News

Your Ad Spot

Oct 8, 2010

AZANIA SEC WAPATA KISIMA CHA MAJI

WANAFUNZI wa shule ya sekondari ya Azania, wakifurahia maji yaliyokuwa yakisukumwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala Bora, Sophia Simba, wakati akizindua kisima cha maji katika shule hiyo leo. Msaada wa kisima hicho umetolewa na Saudi Arabia kufuatia maombi ya Waziri Simba.  

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages