Breaking News

Your Ad Spot

Oct 10, 2010

TANZANIA IPO TAYARI KUTUNZA NYARAKA NA KUMBUKUMBU ZA NYARAKA ZA AKESI ZA MAHAKAMA ZA KIMATAIFA ZA ICTY

NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa KImataifa, Balozi Seif Iddi akizungumza wakati wa mkutano wa Baraza Kuu la 65 la Umoja wa Mataifa  uliofanyika mwishoni mwa wiki, makao makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) mjini Nee York, Marekani. Mkutano huo ulipokea na kujadili taarifa za mahakama za Kimataifa za Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTY) na mauaji ya halaiki ya iliyokuwa Yugoslavia ya zamani (ICTY) ambapo pamoja na mambo mengine Naibu Waziri alisisitiza katika mkutano huo utayari wa \Tanzania wa kuhifadhi nyaraka na kum,bukumbu muhimu za mahakama hiyo baada ya kumaliza kazi zake. (Picha kwa Hisani ya Mdau aliyeko Marekani).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages