Mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dk. Jakaya Kikwete akiongea na Suzana Musa Magufuli(katikati) ambaye ni Mama wa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo John Pombe Magufuli(kushoto) wakati Rais Kikwete alipokwenda nyumbani kwa waziri huyo kumpa pole kufuatia kifo cha binti yake Juliana Magufuli aliyefariki na kuzikwa nyumbani kwao Chato hivi karibuni.(Picha na Freddy Maro).
Pole sana kwa wafiwa. Yote mapenzi ya mungu
ReplyDelete