Breaking News

Your Ad Spot

Oct 27, 2010

UNAKIJUA VEMA KISWAHILI CHA ZANZIBAR? SOMA TANGAZO HILI

Tangazo hili limo kwenye bafu na choo, katika hoteli moja iliyopo katikati ya mji wa Zanzibar, eneo la Dararani, likimtahadharisha mteja katika hoteli hiyo kuhakikisha anafunga mabomba ya  maji kabla ya kutoka baada ya kujipatia huduma. Je, ni wangapi Tanzania Bara wanajua kama mifereji ni koki au bomba la maji?

2 comments:

  1. Hi Thanks for sharing your thoughts. Take care.

    ReplyDelete
  2. Hello A very nice niche blog, and a good design there sparks Simplicity yet complex algorithm of the internet. Thank You.

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages