MWENYEKITI mwenza wa REDET, Dk. Benson Bana akitangaza matokeo ya utafiti wa taasisi hiyo inayojishughulisha na Mpango wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia Tanzania, na kusema mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Rais Jakaya Kikwete anaongoza kwa asilimia 71.2, wanakati wa CHADEMA, Willibrod Slaa akiwa na asilimia 12.3, Profesa Ibrahim Lipumba wa CUF asilimia 10.3. Kulia ni Mtafiti Mkuu wa REDET, Dk. Bernadetha Killian.
Your Ad Spot
Oct 8, 2010
Home
Unlabelled
JK HAKAMATIKI, AWAPITA KWA MBALI WAGOMBEA WENZAKE WA URAIS
JK HAKAMATIKI, AWAPITA KWA MBALI WAGOMBEA WENZAKE WA URAIS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
Kwa hali ilivyo, Watanzania walio wengi hawajaelewa umuhimu wa vyama vya upinzani, na ukiwahoji huko kijijini wanasema `upinzani' ni kuleta `vita' wanasema wameambiwa kuwa wakichagua upinzani amani itavurugika kama Burundi na Rwanda....sasa hebu niambie!
ReplyDelete