Breaking News

Your Ad Spot

Oct 14, 2010

KONGAMANO KUMBUKUMBU YA MIAKA 11 YA KIFO CHA MWALIMU NYERERE, CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

 Wadau wakiiwa kwenye kongamano hilo
Mkurugenzi katika Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Butiku, akizungumza katika mdahalo huo 
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Mathew Luhanga (mwenye lundo la magazeti mbele yake) akiwa kwenye kongamano hilo. 
Wadau wakiwa kwenye kongamano hilo, lililofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, leo

2 comments:

  1. Ukiwa kama muandishi wa habari inabidi uwe makini na unachoandika.Mathew Luhanga sio mkuu wa chuo kikuu,alikua makamu wa chuo na kwa sasa sio yeye pia

    ReplyDelete
  2. Nashukuru kwa maoni yako. Imenitia moyo kwamba unatembelea Blogu hii ya Jamii. lakini nadhani nawewe mdau hukusoma vizuri maelezo au caption ya picha. soma tena vizuri halafu....

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages